kununua na kuuza dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pinda Nhenagula

    Nataka kuelimishwa vyote kuhusu karasha mgodini na jinsi ya kuingiza pesa kwa wingi

    Habari wanajukwaa, Dhumuni langu kubwa la kuporomosha uzi huu ni kuomba au kuwataka wale magwiji au wazoefu wa mambo ya migodini (kununua na kuuza pia na kusimamia karasha ili kuzalisha pesa kwa wingi). Jamani mimi nimepelekwa mgodini na mzee wangu kusimamia karasha la kusagia mawe ya dhahabu...
Back
Top Bottom