Heshima sana wanajamvi,
Tumetangaziwa kwamba taifa litaanza kununua umeme Ethiopia !.
Wanasiasa wa chama tawala na warasimu ndani ya serekali wamekuja na utetezi mwingi wa kitoto na wakibwege faida za kununua umeme Ethiopia.
Sababu kuu ni upotevu wa umeme mwingi kutoka vyanzo vya uzalishaji...