Hapo vip!!
Ninachokiona kwenye sarakasi yote ambayo yanga wanafanya ni sawa sawa na mwizi aliyeiba alafu yeye ndio anajidai kumtafuta mwizi.
Hili jambo lipo wazi kabisa yakwamba kisababishi cha tatizo ni yanga kwasababu yeye ameamua kufanya uhuni kwenye sheria na kanuni alafu anajiona anajua...
Japo inaendeshwa kwa fedha ya walipa kodi wengi maskini na wanyonge, ofisi ya Mwendesha Mashitaka mkuu wa Serikali (DPP) ni chombo au zana yenye kila ukoloni na uvunjaji wa sheria hasa kuwa na kile kisheria huitwa discretionary powers au mamlaka yasiyohojika.
DPP anaweza kutumiwa na watawala...
Makampuni yanayojihusisha na mikopo umiza yameonywa kuacha tabia ya kutoa mikopo bila kufata utaratibu na kuishia kuumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa.
Naibu waziri wa nchi ofisi ya raisi mipango na uwekezaji Stanslaus Nyongo ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la ofisi za hazina ndogo...
TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume na sheria kwa mwandishi wa habari wa Ayo Tv kilichotokea jana Ijumaa Septemba 19, 2024 akiwa...
Jaji Jacqueline Mogeni wa mahakama ya Ardhi Kenya, ametupilia mbali hoja ya chama cha siasa cha Kenya Africans National Union (KANU) ya kudai kuwa walinyang'anywa Jengo la Kimataifa la mikutano la Kenyatta (Kenyatta International Conference center-KICC) kinyume Cha Sheria.
Pia Jaji Mogeni...
Habari za mchana wandugu? Nina shida moja wakuu nina mjomba wangu amestaafu utumishi wa Umma mnamo mwezi wa 4, 2023.
Baada ya kustaafu mnamo mwezi huu 7,2023 tarehe za mwanzoni ameitwa na Meneja wake na kutakiwa kuwasilisha kadi za NHIF ambazo alipewa akiwa kazini. Naomba kufahamu utaratibu...
Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli.
Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine...
RIDHIWANI: WALIOTELEKEZA NYUMBA ZA NHC KUNYANG'ANYWA.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amewataka wapangaji wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ambao wametekeleza nyumba hizo pamoja na kuwa wanazilipia kodi kuondolewa mara moja na...
Baada ya Dereva wa gari ya Mbowe Kustaafu kwa mujibu wa spika gari hiyo ilipokonywa kutokana na kukosekana kwa dereva ambaye aliaminiwa na pande zote mbili. Leo mahakamani inaelezwa gari hiyo ilienda Longido mwaka 2017 kumchukua shahidi wa pili: je kipindi hicho Mbowe alikuwa anatumia gari hiyo...
Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote...
Katika muendelezo wa kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Shahidi wa nane wa Jamhuri dhidi ya Sabaya ameieleza mahakama kuwa hakumshuhudia mumewe akipigwa kama alivyoeleza. Pia, ameeleza bayana kuwa simu zake...
Nashauri kesho viongozi wa yanga twendeni CAS au FIFA. Tukakumbushie kesi ya Morrison.huyu mchezaji ana kera sana.anakera mpaka mwisho.
Jana tena ametonesha kidonda kwa kusababisha faulo na kusababisha goal.tena unamwona kabisa anamwambia Luis nenda kafunge...na Luis anamsikiliza anaachia shut...
Nimemsikia Raia Samia anasema watahakikisha wanakusanya kodi halali na sio ya dhuluma na huko nyuma amekemea TRA kunyang'anya watu mitaji na hela zao kwa kisingizio cha kodi.
Hapa tuseme ukweli kuwa tuhuma kuwa miaka mitano iliyopita watu 'wamedhulumiwa' na kunyang'anywa hela zao' zimezagaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.