Habari za mchana wandugu? Nina shida moja wakuu nina mjomba wangu amestaafu utumishi wa Umma mnamo mwezi wa 4, 2023.
Baada ya kustaafu mnamo mwezi huu 7,2023 tarehe za mwanzoni ameitwa na Meneja wake na kutakiwa kuwasilisha kadi za NHIF ambazo alipewa akiwa kazini. Naomba kufahamu utaratibu...