kunyimwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Morning Glory1

    Almasi Kasongo na wenzako wa TPLB mnatuharibia mpira wetu mnatakiwa mjiuzulu hakuna kanuni inayoruhusu timu kugomea mechi wa kunyimwa kufanya mazoezi

    Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4) Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
  2. Mpigania uhuru wa pili

    Huyu nabii alitabiri Museveni kuangushwa, na Rwanda kunyimwa misaada. Uijeruman na Ubelgiji tayari zimesitisha misaada kwa Rwanda

    sikikiza kwenye video hapo chini https://m.youtube.com/watch?v=NZI68ek9aOU
  3. GENTAMYCINE

    Simba SC ikishinda Magoli ya Penati anachekwa iweje nao leo wanalilia kunyimwa Penati?

    Kufanya kosa si Kosa bali kurudia Kosa ndiyo Kosa. Kesho tukiwaacheni kwa Moko Alama sahauni kwani tayari tumeshajipanga hadi Ubingwa. Kudadadeki....!!!!!!!
  4. A

    KERO LATRA fuatilieni baadhi ya Kampuni za Mabasi zinazokatisha tiketi ‘mkononi’ zinatoza nauli tofauti na hazitoi tiketi za Elektroniki

    Hello habari! Changamoto yangu naielekeza hasa kwa mabasi ya mikoani yatokayo Mkoa wa Kagera - Karagwe kwenda DSM au mikoa mingine wamezidi kujipangia nauli kipindi hiki mpaka kutoza nauli ya Sh 150,000 - 200,000. Wahusika hao wanaokatisha tiketi mkononi kwa maana ya ‘physically’ ukijaribu...
  5. Waufukweni

    Wanaume waililia Serikali ya Kijiji kisa kunyimwa Unyumba na Wake zao

    Wakuu Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume kunyimwa unyumba, huku akiwataka wanaume kutoa taarifa za vitendo hivyo kwenye sehemu husika ili kutokomeza...
  6. Waufukweni

    Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Kombo wa CHADEMA aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi 4 baada ya kunyimwa dhamana aachiwa kwa faini ya Tsh. 85,000!

    Wakuu, Kwahiyo lengo la serikali ilikuwa kumsumbua tu na kumhenyesha basi! Job true true! Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi minne baada ya Mahakama ya Wilaya ya Tanga kumnyima dhamana, amerejea uraiani kwa...
  8. Gemini AI

    Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

    Haya ndio Mashtaka yanayomkabili Boniface Jacob @ExMayorUbungo , wakili Peter Kibatala @PKibatala_ azungumza
  9. N

    KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha. Hilo limetokea leo mimi mwenyewe nilipoenda bank na...
  10. BUSH BIN LADEN

    Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  11. Tryagain

    Pre GE2025 Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia

    Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter truth.” Kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili tunaweza itafsiri kama “Hakuna urafiki bila maslahi...
  12. Zingzingzing

    Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

    Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
  13. D

    KERO Kunyimwa vyeti wahitimu wa chuo cha Western Tanganyika, Kigoma

    Naomba niwasilishe kero yangu inayonisumbua nikiwa pamoja na wenzangu tupate ufumbuzi. Tunaomba kujua ni lini chuo cha Western Tanganyika kilichopo kigoma itawapa wanafunzi wake waliohitimu chuo September 2022 kozi ya pharmacy ngazi ya cheti maana waliwaambia wakae vyeti vitatoka na hadi...
  14. kiwatengu

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali lipeni mshahara wangu wa Machi

    Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa. Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa. Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata. Mimi...
  16. P

    Mpaka taasisi zinagoma, sisi raia ndio wavumilivu sana na waelewa sana kila tunapopewa huduma mbovu na kunyimwa haki zetu?

    Wakuu, Ni kwamba "Wanyonge" ndio jina tulilokubali kuitwa na kuliishi hatuwezi kabisa kutoka humo hata tufanyiwe aina yoyote ya upuuzi hatutafanya kitu? Tunamuachia Mungu? Tunalipia huduma hizi ni haki yetu kupata kilicho bora. Tunanyonywa na kodi za kila aina kwanini hatu-DEMAND kupata...
  17. sky soldier

    Kama Uchumbani unapewa mchezo kwa mbinde usimuoe! Ukifosi kumuoa jiandae kunyimwa hata mwezi/ mwaka mzima

    Suala la sex lina uzito sana ndani ya ndoa hasa kwa mwanaume ambae kaumbwa na matamanio makubwa kwenye ya libido / sex drive. Unapoona mwenzako uchumbani kwenye suala la mchezo ni mpaka ajivute vute, hadi umuhonge, umbembeleze sana na pengine hana hisia kwenye sex basi huyo ni wa kupiga na...
  18. BARD AI

    Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Hassan Banga amesema Tumaini Luvanda (35) Mkazi wa Dombwela Wilaya ya Makete Mkoani Njombe aliyeuawa kwa kukatwakatwa na panga vipande na kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, na baadhi ya viungo vyake kutupwa Mtoni katika eneo la Kabinda Wilayani...
  19. T

    Kikongwe wa miaka 110 aua mke kisa kunyimwa unyumba

    Babu, kikongwe wa miaka 110 amekamatwa kwa kosa la kuua mke baada ya mke wake kumnyima unyumba. ==== Polisi huko katika wilaya ya Ntungamo nchini Uganda, wanamshikilia mzee mmoja mwenye umri wa miaka 110 kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka 109 kwa kosa la kumnyima unyumba. Kwa...
  20. Webabu

    Wapalestina sasa kuuliwa kwa kunyimwa maji na msongamano wa makazi

    Kucheleweshwa kwa zoezi la vikosi vya Israel kuingia Gaza kuna watu wanaamini kuwa ni woga wa Israel kupata kipigo kutoka kwa vikosi vya wanamgambo wa Hamas na wenzao huko Gaza kama ilivyokuwa huko nyuma. Hapana safari hii ni zaidi ya uwoga. Nia safari hii ni kuwamaliza wapalestina kwa wingi...
Back
Top Bottom