Habari waungwana,
Kuna jamaa yangu fulani anatuhumiwa kutenda kosa la kumshambulia mtu ambaye ambaye walizozana kidogo. Shida imekuja kuwa anaendelea kushikiliwa kituo cha Polisi huku suala la kumdhamini likiwa limegonga mwamba. Hii ni kumnyima haki ya msingi jamaa yetu.
Ibara ya 13(6) (b)...