Nikiwa kama mjasiriamali nimejikuta nipo kwe uhitaji wa mkopo kutoka Benki ambayo ninaitumia kwa ajili ya kufanya miamala yangu ya kibiashara na hata kuhifadhi fedha kwa muda mrefu.
Isivyo bahati nimekataliwa kupewa mkopo kwa sabubu nina ndugu yangu anadaiwa na deni lake hajalipa kwa wakati...
Anonymous
Thread
kukataliwa mkopokunyimwamkopo
masharti ya mkopo
mikopo ya benki