kunyoa nywele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. notyfeky

    Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje?

    Habari. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje? Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
  2. Bob Manson

    Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

    Habari za jioni Wana Jf Kwa wale ambao mara kwa mara mnapata huduma katika hizi saloon za kisasa, mtakuwa mnafahamu vyema huduma zitolewazo mule. Baadhi ya saloon ukigoma kufanya scrub, utaoshwa kichwa kwa fujo na gadhabu kubwa. Nayasema haya maana niligoma na nilinyoa upara sasa kakichovya...
Back
Top Bottom