Habari za jioni Wana Jf
Kwa wale ambao mara kwa mara mnapata huduma katika hizi saloon za kisasa, mtakuwa mnafahamu vyema huduma zitolewazo mule.
Baadhi ya saloon ukigoma kufanya scrub, utaoshwa kichwa kwa fujo na gadhabu kubwa.
Nayasema haya maana niligoma na nilinyoa upara sasa kakichovya...