kunywa soda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Imefikia mahali kunywa juice za dukani ni hatarishi kwa afya yako kuliko kunywa soda!

    Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako. Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine...
  2. mgt software

    Bia ya Pilsner yauzwa 1000 Bukoba, watu wamegaili kunywa soda, wanameza bia tamu.

    Wana JF Ukiwa Bukoba raha sana, wale ambao walikuwa wanagonga nyagi mwitu wameamia kwenye bia ya buku huku wakifurahia ujio wa kiwanda hiki mwanza, maroli na maroli yanamwaga bia bukoba, usije ukalogwa eti unataka kuwanunulia nyagi, hawataki kabisa. Hongela sana SBS kwa kuleta burudani...
  3. FRANCIS DA DON

    Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

    Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka...
  4. Abby Newton

    Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

    Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zote baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi. Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa. Najihisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Back
Top Bottom