Wanajamvi natumai kwema kwa wote hata mimi pia.
Naomba kuuliza huu msemo wa kukosea kuoa ama kuolewa umeharibu maisha; Kimtazamo umekaaje...?
Mfano;Mimi nina mke 1, na mtoto 1, nina miaka 5 ktk ndoa na Umri wangu 33. Nimeona kila Dalili kua nimekosea kuoa. Ikitokea nimejiengua katika hii ndoa...