Katika maisha kosea vyote ila usikosee kuoa , ukikosea kidogo mtu sahihi wa kumuoa basi umejiangamiza wewe mwenyewe, uzao wako na mali zako.
Katika wanawake wanaopaswa kuepukwa kwa haraka sana basi ni mwanamke mwenye chembe chembe za u feminist , aisee mwanamke wa dizaini usijishauri mara mbili...