Ukutaka kuoa oa mwanamke mzuri anaekuvutia, tabia zinabadilika ila ukishaoa sura personal ndo basi tena.
Ukiona mwanamke mzuri anaevutia a.k.a pisi kali
1. Hutatumia gharama kumpendezesha
unachagua tabia unaingia gharama za makeup na mavazi ili tu kumtangeneza aonekane mrembo, wakati wengine...