Ushawahi kujiuliza kwa nini wanaume waliofanikiwa wanaoa la Saba B? Au kwa nini kinamama wengi wenye kazi zao na pesa nyingi hawajaolewa?
Zama zimebadilika, zamani wanaume walifanya shughuli zote za kiuchumi huku wanawake wakibaki kuwa nyumbani, kutokana na maendeleo na kubadilika kwa mtindo wa...