kuoa mwanamke bikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
  2. O

    Kuhusu kuoa mwanamke Bikra

    Habari zenu wanajukwaa, Leo ningependa tuongelee kuhusu hili swala la kuoa wanawake Mabikra katika story zangu nikiwa kijiweni na Marafiki zangu nawambia kwamba nataka kuoa mwanamke ambaaye ni bikra wengi huwa wananipinga na wananiambia swala la mimi kuoa mwanamke bikra ni ngumu haiwezekani...
  3. Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
  4. Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

    Wakuu pokeeni salamu zangu, Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari, Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…