Ndugu zangu salaam
Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano.
Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua hapa ulikosea kuoa au kuolewa nae.
Pia kwa wale wengine tuambieni ni nini mlikiona kwa wapenzi wenu...
Imagine watu mnakutana ukubwani hapo kila mtu kakulia mazingira tofauti. ndio maana huu mtaa naoishi kuna wanawake kadhaa wanamiliki Mali ila hawana waume ila wana watoto.
Nahisi ujuaji umewaweka hapa, mmoja nilimsikia anasema haya maisha ni bora uishi tu single mambo ya kunyenyekea mtu ni...
Mmoja wa wachangiaji katika Kongamano la Katiba lilioendeshwa na Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) mwishoni mwa wiki mkoani Katavi amedai:
"Kama katiba inatambua umri wa mtu kuoa na kuolewa kwamba miaka 14 kwa miaka 18, basi iwekwe ukomo kwa mtu kuolewa na kuoa kwasababu tumekuwa na taifa...
Kukaa kwenye dawati kufungua ukurasa kwa kwanza tu wa kitabu cha mtihani wa Utu Uzima. Hilo swali la kwanza. Jadili.
Hakuna kuchagua na hakuna "kweli si kweli". Yaani watu wanafunga ndoa ili kiwe nini. Kuzaa watoto? Kupata free kula/la/na? Kuwa na hadhi katika jamii? Kutimiza wajibu? Au ni ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.