kuoa single mother

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Alie Nyikani

    Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

    WanaJF Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia. Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya. Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya...
  2. Labani og

    Faida 10 za kuoa mwanamke mwenye mtoto (single mother)

    𝗙𝗔𝗜𝗗𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto). 2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea. 3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuushi na mwanaume...
  3. Manfried

    Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

    Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
  4. The ice breaker

    Bora kuoa single mother

    Wakulu Nyie ambao mko na interest ya kuoa ni Bora kuoa single mother kuliko Hawa ambao Bado hawana watoto au mtoto hata mmjo.. Kuoa single mother inakupa uhakika kuwa shamba mbalo unaenda kupanda mbegu Lina rutuba ya kutosha Kwa kuzalisha mazao nadhani hapo tumeelewana, maana tofauti na hiyo...
  5. Mjanja M1

    Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  6. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  7. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  8. Lububi

    Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  9. Mboka man

    Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

    Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ . 1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake 2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana 3.jina la mtoto wake...
  10. A

    Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange. Haya...
  11. RaiaMbishi

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
Back
Top Bottom