Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa.
Na wataalam wa...
#HABARI Kijana mmoja anayefahamika kama Boaz Sanga ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza, amefariki baada ya kuzama wakati akijaribu kuogelea kwenye ziwa Viktoria.
Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Jeshi la zimamoto Mwanza Kamila Laban, amesema kijana...
Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach.
Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao walikuwa wameenda Nao kuogolea katika Maeneo hayo ya Kando kando ya Ziwa Na Na Kifo hicho kimetokea...
maji yana hatari lakini ni vema kuipunguza hatari hii kwa kujifuunza kuogelea, kuna watu wanakufa maji kwenye mafuriko kwa kushindwa kuogelea, meli zinpinduka ufukweni kuna abiria wanakufa maji kwa kushindwa kuogelea, watu wanaozama wanashindwa kuokolewa saabu anaeshuhudia hawezi kuogelea, n.k...
Inashangaza kuona Saudi Arabia inayosifika kuwa nchi tajiri ya kiarabu kuona kiasi pekee walichochangia ni dola milioni 133 tu kuisaidia Gaza.
Saudi Arabia imebarikiwa mafuta, visima vingi vinamilikiwa na wanafamilia wa kifalme na ndugu zao (royal family), huonyesha ufahari wao kwa kutumia...
Na hii hali inatokea hata meli ikipinduka umbali mdogo tu kutoka nchi kavu.
watu huwa wanapanik sana meli ikipinduka kila mtu asiejua kuogelea anachowaza ni kupata sehemu yoyote ya kujiokoa.
Kwa wale wanaojua kuogelea hupata mtihani maana meli inapopinduka mnakuwa wengi sehemu moja, shughuli...
Katika Mashindano ya mchezo wa kuogelea huko Budapest, Anita Alvarez wa Marekani alizama chini ya swimming pool.
Akitazama huku na kule na kugundua kuwa Anita alikua ndani ya maji muda mrefu sana, kocha wake, Andrea Fuentes mara moja akaingia ndani ya maji na kumuokoa. Anita alikuwa amepoteza...
Mahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane.
Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo...
KANUNI KUU ZA KUFUATA UNAPOENDA KUOGELEA.
Anaandika, Robert HERIEL
Kabla ya kuyachezea maji lazima utambue haya;
1. Maji hayana Mjuzi, mbabe.
2. Maji ni kiumbe hai, kwani ni chanzo cha uhai na huweza kukomesha Uhai. Unapozungumzia viumbe vyenye nguvu basi Maji na Upepo ni Moja ya viumbe hivyo...
Mwandikishe mwanao kwenye mafunzo ya mchezo wa kuogelea kipindi cha likizo ya Pasaka
Kuanzia tarehe 9.4.2022. Vyeti vinavyotolewa kwa washiriki wote.
Mahali
[emoji842]Upanga
[emoji843]Tabata Kimanga
[emoji842]Kinyerezi
[emoji843]Mbezi beach
[emoji338]0622807411
NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa majini na mazingaombwe ya majini!
Hivyo sehemu pekee ya kistaarabu ni Swimming pool lakini huku nako...
A. KUPIGA & KUGOMBEZA WATOTO KWASABABU YA UWEZO SHULENI NI UJINGA
Unakuta mtoto kila siku anaenda shuleni, anahudhuria kila kipindi, anafanya home work, n.k. ya nini kumchapa au kumgombeza huyu pale anaposhika namba za kawaida au chini darasani. nimesema namba kwasababu ndicho kigezo ambacho...
Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku.
Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune...
Niwasalimu ndugu zangu kila mmoja kwa nafasi yake, leo niwape kwa ufupi mambo yanayofanyika pale swimming club-Rskazone Tanga
Siku za wikiendi, hasa jumamosi na jumapili utakuta nyomi la watu wamekuja kuogelea, kiingilio sio kikubwa nadhani ndio sababu ya watu kuvutika kiasi hicho, ni shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.