👉HUKUZALIWA 👉KUJA
👉KUOKOLEWA 👉NA MTU
Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu ulimwengu wa tatu ili ukuze Ufahamu wako/consciousness, haujazaliwa Kuja kuokolewa na Bwana Yesu ama...