Kuna tukio limetokea Kibaha, Kwa Mfipa, familia imevamiwa, wameibiwa vitu ndani ikiwemo na gari, wamechukua na simu za uwakala wamelazimisha wapewe na PIN, wamepewa.
Kama haitoshi wamewafunga kamba mke na mume, wakawaweka kwenye mashimo ya choo tofauti, mtoto wa miezi saba hajulikani yuko...
Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya ni kwenda kunakotupwa vitu vilivyokwishatumika na kuvihamishia nyumbani kwake.
Kwamba, ni kawaida...
Eti mala yako ya mwisho wewe kuokota pesa lini na ulikota shingapi?
Na ushawai oupoteza pesa kiasi gani mpaka ukajilaumu sana
Mimi mara ya mwisho kuotoka pesa ilikuwa juzi shilingi 100 niliokota
Na nilipoteza pesa 10000 na iyo ndio ilikuwa kilinda mfuko ugenini nikaona aibu kuomba nauli...
Haya ndio maneno, kwamba kuna watu wanauza mamia ya mamilioni na kwamba bado yako humo. Hii inachangia wingi wa watu hapo saiti.
Jamani, tutumie digital payments, hata likitokea janga, fedha inabaki hewani tu
kwa anaehitaji saloon ya kiume in a kila kitu mashine za kunyoa 2, vioo 3, viti vya kunyolea vya dukani 2 kiti cha wateja cha chuma vile special vya dukani kinakaliwa na watu watatu 1 ,shelf 2. ,salooni nauza kwa 350,000/= fixed. location ni mwanza Buhongwa kama upo interested hamna haja ya...
Ukichukua watu kumi uwapeleke msituni kisha utafute mti mmoja mkubwa na uwaambie wanaona nini?
# Wapo watasema wanaona mti
#Wapo wataosema wanaona kuni.
#Wapo wataosema wameona Mbao.
#Wapo wataosema wameona mlingoti wa umeme
# Wapo wataosema wameona nguzo ya nyumba.
WOTE WAPO SAHIHI...
Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani.
Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini
Nilitaka kuignore, lakini nilipofocus nikagundua ni pochi ya hela. Nikaiokota haraka na kurudi kwenye sherehe...
Habari za muda huu ndugu zanguni.
Mwaka fulani mida ya asubuhi wakati nikiwa kwenye harakati za kuusaka ugali nilidondosha pochi yangu.
Pochi yangu wakati inadondoka ilikuwa na pesa kiasi kama 90,000/= na vitambulisho na kadi zangu za benki na wakati naangusha nilikuwa naelekea benki ya NBC...
Zambia: Kama kuna timu ambayo tunaenda kuokota points za bure ni ya Tanzania ila kwa Morocco tutajitahidi tupate angalau sare au suluhu kisha huko mbele tutajua nani ataenda.
Congo DR: Morocco tukijitafuta tuna uwezo wa kuwafunga au basi tukiwashinda tutatafuta sare au suluhu ila kwa Tanzania...
Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma.
Siku moja walikuwa wanasherehekea miaka 40 ya ndoa yao. Hivyo waliamua kutembelea shule yao waliposomea...
Hello habari za asubuhi!
Hii story nimewahi kuwasimulia wachache sana.
Ni rahisi kumtia moyo mtu kuwa magumu yatapita, Mungu atakusaidia kipindi uko vizuri na umeshiba. Ila ukipitia kipindi kigumu hata ushauri na courage utasikia kama kelele tu unapigiwa.
Nilihitilafiana na wazazi pamoja na...
Habari. Kuna hii ndoto ambayo karibu Kila wiki lazima niiote. Ninakuwa naokota pesa za sarafu mpaka za mataifa mengine na zinakuwa nyingi kiasi kwamba naweza kutembea hata kilomita Moja na Kila mahali naokota hizi pesa. Nimeanza kuiota kitambo sana.
Usiku wa kuamkia Leo pia nimeiota Sasa...
Wakati huo nilikuwa nipo njema Sana kiuchumi, sasa katika harakati za ulevi nikakutana na mdada bar, tukalewa tukaenda guesti mdada akalala chali kuomba mzigo akaniambia panda mgongoni, nimle kisamvu.
Kwa akili za kilevi nikamchakata baada ya hapo nikawa nimenogewa kula kisamvu lakini...
Kuna engine / vichwa vya treni vilikuwa bandarini na serikali ikadanganya kwamba havina mwenyewe.
Vichwa vya treni ni mitambo ya thamani kubwa sana na mara nyingi kama sio zote huundwa kwa mikataba maalum.
Haiyumkiniki kukawa na vichwa vya treni visivyokuwa na mwenyewe, au vichwa vya treni...
Habari zenu wakuu.
Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja.
Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
Ukiachwa achika
Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali...
Wote ninaowajua walioshangilia msiba na kusema hela sasa zitajaa mitaani na mifukoni mwao bado ni masikini wa kutupwa na nyumba walizokuwa wanajenga wamezikimbia maana gharama za maisha zimepaa haijapata kutokea.
Tangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.