kuomba ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  2. Kikomo cha umri kuomba ajira za majeshi kama uhamiaji kiongezwe

    Naandika nikiwa na majonzi mengi sana mimi ni kijana wa miaka 27 jobless ambae napambana na natamani kubadili maisha yangu ila hivi vigezo vya ajira kwa kigezo cha umri vinatukosesha sana ajira sisi wagonga ulimbo ni kwa mara nyingine tena mfumo wa wa ajira portal uhamiaji umenitema kisa umri wangu.
  3. Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

    aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
  4. "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
  5. Kilichomkuta rafiki yangu kazini kwake

    Rafiki yangu mmoja kanipa kisa chake kaomba nimshauri nimemwambia anipe muda nikakumbuka wazee wa busara wako hapa nitashare kisa chake ili nipate hoja imara za kumshauri. Rafiki yangu huyu anafanya kazi katika kampuni Z. Juzi akiwa kazini kwake ambako wanaingia saa moja asubuhi na kutoka saa...
  6. KERO Huu ujumbe wa Ajira Portal nawezaje kuupatia ufumbuzi?

    Wakuu kama ujumbe unavyosomeka hapo juu. Niliweka vyeti original kwenye academic qualification na nikawa naomba kazi bila shida na kuitwa kwenye interview bila shida yoyote. Ilifika kipindi ilikuwa siitwi kwenye interview na kutumiwa ujumbe unaosema niweke vyeti vilivo thibitishwa na...
  7. J

    KERO Kuhakiki vyeti vya elimu kabla ya kuomba Ajira Serikalini ni usumbufu na kikwazo kwa waomba Ajira Tanzania

    Habari Wana jamvi hivi ni kwanini tukitaka kuomba Ajira za Serikalini tunahitajika ku-certify vyeti vyetu vya elimu kwa wanasheria au mahakamani? Je, mamlaka za Ajira hazitambui vyuo tulivyosoma au kuna umuhimu gani haswa wa ku-certify vyeti hivyo. Je, Kama vyuo tulivyosoma vinatambuliwa na...
  8. Mambo ya kukumbushana kabla hujatuma application ya kazi

    Habari zenu ndugu zangu. Katika harakati za kujipambania kutafuta ajira na kulingana na kasi ya teknolojia ya dunia inavoenda, kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia kabla ya kusubmit application yako ya kazi 1. ATS-CV Huu ni mfumo wa uchakataji wagombea (Applicant Tracking System) ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…