Ndugu yangu amefanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu kama Private Candidate na kufaulu kwa DIV 3 ya point 13, lakini cheti chake cha O-leve ana ufaulu wa masomo matatu tu yaani ana C za masomo matatu t.
Amejaribu kuomba chuo kimoja wamemwambia kuwa hana sifa kutokana na huo ufaulu wa...