kuomba hela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Juice world

    Masikini siwataki pm maana naona mnajaa kuomba hela

    Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia shida zenu tafuteni hela muwe kama Mimi mtoto mdogo miaka 28 ila pesa nyingi huwa nashangaa jitu Zima...
  2. Pdidy

    Tupunguze kuomba hela hovyo ndoa zipo shida mizinga wanaume tunaogopa....

    DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF "Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...
  3. covid 19

    Kuomba hela ni aibu, kuomba hela usipewe hiyo ni aibu ya pili na kukumbushia ombi la kuomba hela hiyo ni aibu ya tatu.

    Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu. Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
  4. Gentlemen_

    Tabia ya kuomba hela (Kiholela) imekuwa desturi ya Watanzania wengi

    Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana. Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo".. Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha...
  5. Pang Fung Mi

    Hivi kuna wanawake wa makabila mengine wanaowazidi waluguru na wazigua kuomba hela kwenye mapenzi?

    Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b...
  6. Chizi Maarifa

    Nyie wenzangu mnawapataje au mnawapata wapi?

    Sijajua sababu ni nini. maana leo nimewaza kuwa pengine nina nyota ya Buzi. Kila nikifahamiana na msichana nikatamani tuanze mahusiano hazipiti siku mbili utasikia anaomba pesa ya kodi. Simu imeharibika au ada ya chuo. tatizo langu nini lakini? Maana inanifanya nihisi pengine sipendwi. Why kuna...
  7. T

    #COVID19 Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  8. Jidu La Mabambasi

    Nani wanaongoza kuomba hela?

    Namba moja michepuko-hao ni balaa! Namba mbili mama chanja(mamsap) Namba tatu ndugu na jamaa! Namba nne, kanisani/msikitini! Namba tano michango ya jamii-ulinzi shirikish, gari la taka n.k. Namba sita chama.......! Mwana JF weka nawe wa kwako!
  9. Maleven

    Tabia ya kuomba hela halafu ukishatumiwa husemi imefika au kutoa shukrani sio nzuri

    Yaani hata kama mtu hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika. Hii tabia inakatisha sana tamaa
  10. Gily Gru

    Kuombwa Hela Kijijini

    Mimi ni mchaga kutokea Mkuu Rombo, ila pia ni mkazi wa Dar es Salaam japo sipendi kuitwa mwanaume wa Dar. Kuna jambo moja linanikera sana kwa kweli kila nikienda nyumbani Kilimanjaro nikikutana na wakazi wengi amabao ni ndugu au wachaga tu huwa wana tabia ya kuomba hela sana. Ukikutana na mtu...
  11. M24 Headquarters-Kigali

    Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

    Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! Mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa. Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani? Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Back
Top Bottom