kuomba mkopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?

    Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
  2. J

    Muda wa kuomba mkopo HESLB kwa kozi zilizoongezwa Januari 3, 2024 uongezwe ili kuruhusu kukamilisha maombi

    Habari, Naomba tujadili hili ni sawa? Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
  3. Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani?

    Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani? Vigezo ni vipi?
  4. Unapokwenda kuomba mkopo bank unakumbuka kusoma vigezo na masharti?

    Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote. Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
  5. Kukwama kwenye kufungua Account ya kuomba mkopo wa elimu ya juu HESLB

    Habarini za kazi wadau! Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini...
  6. G

    Naomba kujuzwa changamoto na ya kuzitatua wakati wa kuomba mkopo chuo kupitia HESLB

    Habari wanaJF Naomba kujua, kuna aliyefanikiwa kuomba mkopo?, Unakutana na changamoto gani na unatatuaje?
  7. Mwenye kujua taratibu za kuomba mkopo benki kwa dhamana ya nyumba

    Habari, Naomba maelekezo kutoka kwa members ambao walishawahi kukopa bank kwa dhamana ya nyumba,maana mambo yashakuwa magumu, nyumba iko DSM, ilala kata ya kitunda. Mwenye uzoefu tafadhali naomba maelekezo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…