Eti ni udhaifu 🤷🏾
Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa?
Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako?
Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
Kuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea,
Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?
Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani .
Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje...
Fadhili Nassoro (CCM) ameibuka kidedea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Calfonia, Kata ya Nyegezi jijini Mwanza kwa kupata kura 1,649 kati ya kura zilizopigwa 2,198.
Akitangaza matokea leo Jumatano Novemba 27, 2024 msimamizi wa uchaguzi, Christer Nyikizeha, amesema waliojiandikisha kupiga kura...
Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
Inaonekana kuwa kwenye Misa Takatifu huko kwenye Parokia ya Matosa, waume wamelazimishwa na Padri kuwaomba msamaha wake zao kwa namna ya 'udhalilishaji'. Nasema wamelazimishwa, kwani sidhani kama walikuwa radhi kufanya hivyo mbele ya watu.
Na ni 'udhalilishaji' kwa sababu jambo limefanyika...
Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa.
Gachagua anatarajiwa kuhojiwa na Bunge kuhusu tuhuma mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu, Rushwa, kukiuka katiba...
Mbona wanatoka na haya hadharani sasa badala ya Oct 6 mwaka jana?
Mshtuko huu na kujitolea kwa Israel salama kulikuwa wapi wakati ilionekana kama Israel ndio ilikuwa karibu kuangamizwa mnamo Oktoba 7? Sina shaka na maneno yake au unyoofu wake, ninashangaa tu kwa nini anafadhaika zaidi kuhusu...
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa...
Kupitia bunge leo kupiga kura ya kuadhimia kuondoa kipengele cha sharti mwajiliwa wa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kupita jkt au jku, serikali inapaswa kuomba msamaha maana kigezo hiko kimekoseha maelfu ya vijana kupambania fursa ya kuajiriwa kwenye vyombo hivyo.
Imagine mtu aliyemaliza...
Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti fulani ambae alikuwa nami bega kwa bega.
Kuna muda tulitengana lakini alikuwa ana tabia ya kunitafuta na kunisalimia, hata kama utapita mwezi au miezi miwili lakini lazima tu atanitafuta na kunisalimia na mimi namjibu vizuri kabisa.
Ingawa alikuwa...
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia
"Sawa basi nimekosa"
"Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse.
Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
Wazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea.
Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa...
Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau,
Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake
Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!
Shout out kwa wale wote ambao bado wana imani katika mapenzi ya kweli!
Katika mahusiano au ndoa kuna ups & downs ambazo huja na kupita. Impact za hizi ups & downs inategemea na stability ya washirika. Kila jinsia ina namna ya kuomba radhi/ msamaha pindi anapomkosea mwenzake.
● Kwa upande wa...
Mwamba wa Chadema alijifanya nunda lakini mwisho wake alituma viongozi wa dini ili wamchomoe na akalia sana kwa hudhuni ya huruma.
Sasa hivi habari ya katiba mpya na kudai haki za wanyonge amesahau amebaki kuhudhuria live concert sababu yeye ni Deejay
Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema.
Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni.
Sasa...