Ilikuwa juzi majira ya saa 4 asubuhi nipo home, ikaingia message ya mshkaji mmoja hivi inasema "nina shida nisaidie 300k mpaka kufikia saa 1 night ntakuwa nishakutumia pesa yako"
Kuna pesa nilipanga nimtumie dogo langu yupo chuo huko, nikafikiria niiasema kwakuwa jamaa atarudisha night acha...