kuomba radhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo tarehe 31.12.2024 ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka huu. Nachukua nafasi hii kuomba radhi

    Tunahitimisha mwaka 2024.. Kiuhalisia hakuna kinachobadilika zaidi ya tarakimu.. Maisha yetu yametawaliwa na tarakimu.. Na hizi ndio zinaendesha dunia ya kimwili na ya kiroho pia Tarakimu hazina kinyume(rivasi).. Muda haurudi nyuma.. Hivyo basi siku hii ya huu mwaka haitakaa irudi tena maishani...
  2. M

    Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  3. Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

    Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu. Pia, Soma: • Polisi: Tunawashikilia Niffer...
  4. Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  5. Kama Kiongozi anayewajibika nilitarajia Dotto Biteko Naibu Waziri Mkuu kuomba radhi watanzania au kujiuzulu

    Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24? Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu...
  6. R

    Mzazi wako akikukosea anakuombaje radhi?

    Wakuu, Mzazi wako akikukosea anaombaje msamaha? Omba msamaha kama mzazi/mlezi wako anavyokuomba akikukosea. Twende kazi... ==== Unajua wewe ndio umesababisha mpaka nikakuchapa (kosa linatajwa upya na lawama zote zinarudi kwako zinarudi kwako tena, hapo ndio imetoka hiyo😂😂😂).....
  7. V

    DC Kiteto ni wakati wa kuitisha kikao cha wadau wa kilimo ili kuwaomba radhi

    Kwenye sakata la zao la Mbaazi Kiteto, wakulima na wadau wa kilimo wameumizwa sana na Maamuzi yako yaliyokuwa yamejaa dharau, kiburi na Majivuno. Mara zote ulikataa kusikiliza upande wa Pili wa wadau wa kilimo, wewe ukakumbatia kundi la Madalali. Matokeo yake wakulima waliokuwa na mbaazi zao...
  8. Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

    Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba. Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba...
  9. Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  10. J

    Mariam Ditopile amlipua Lema, amtaka ajitokeze kuomba radhi

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma Mhe Mariam Ditopile amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ajitokeze aombe radhi kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusu Vicoba ambayo ni yakuwadhihaki wanawake. Katiba hotuba...
  11. Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

    Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha. Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
  12. Jumuiya ya Bonde la Usangu yamtaka Balile kuomba radhi kabla ya haijamshtaki

    Jumuiya Ranchi hizo (Uraa) imepinga taarifa ya kuhusika kwake na operesheni zinazozuia maji kuingia kwenye Mto Ruaha Mkuu, na kutishia kumshitaki Deodatus Balile aliyewahusisha na sakata hilo. Mapema wiki hii kwenye hafla ya mazingira mbele ya Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango mjini Iringa...
  13. UVCCM wamvaa Dkt. Bashiru mzimamzima - "Aache unafiki, aombe radhi, hatutamuangalia usoni

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Dkt. Bashiru aombe radhi kutokana na kauli yake aliyotoa wakati wa mkutano mkuu wa Mviwata, Kenani amekiomba chama kumchukulia hatua Dkt Bashiru kutokana na kauli zake za ukosoaji kwa viongozi, hawapaswi kupongezwa. Global...
  14. Idris Gueye agoma kuomba radhi kwa kutokuunga mkono LGBTQ+

    𝗜𝗱𝗿𝗶𝘀𝘀𝗮 𝗚𝘂𝗲𝘆𝗲 ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano haramu ya jinsia moja na watu waliobadili jinsia kwa pamoja wanajitambulisha kama LGBT+. Hivi...
  15. Rais Joe Biden apinga kuomba radhi baada ya kutoa kauli ya kutatanisha kumuhusu Rais Vladimir Putin

    Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu amesema hataomba radhi baada ya kutamka hivi karibuni kwamba rais wa Russia Vladimir Putin “hawezi kusalia madarakani”, akisisitiza kwamba “alionyesha hasira ya kimaadili”, na sio wito wa kuondoa utawala wa Moscow. “Watu kama hao sio wa kuongoza nchi, lakini...
  16. Wasafi yalambwa rungu jingine, Zuchu asababisha kupewa onyo kali na kutakiwa kuomba radhi pia kipindi chawekwa chini ya uangalizi

    Wasafi wakiwa bado na kidonda cha Nabii Shilla kuudhihaki ukristo na kupigwa faini, TCRA bado wanawalia timing na leo wametakiwa kuomba radhi kutokana na interview ya Zuchu kutumia 'lugha chafu ya matusi ya nguoni isiyo na staha' kwenye kipindi cha 'Refresh'. Pia kipindi hicho kimewekwa chini ya...
  17. Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

    Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma. NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI...
  18. Iwapo Nape anamaanisha Magufuli ni GodFather wa PolePole atastahili kuomba radhi mapema

    Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi. Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…