Yatima wengi hawana msaada kutokana na ubinafsi wa wengi kudhamini watoto wao wa kuwazaa pekee kama unaweza kufunga basi fanya hivyo kwa ajili yao ili mungu awafanyie njia.
Walio kata tamaa na maisha hili kundi ni kubwa sana na issue inayosumbua hili kundi ni pesa waweke kwenye maombi yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.