Tusijisahaulishe kuwa viongozi wa Chadema wakishirikiana na washirika wao ndio walio chochea watu kuingia barabarani na kufanya fujo na hatimaye baadhi yao kupoteza maisha, isingekuwa chadema na washirika wao kuchochea huenda hata mtu mmoja asinge kufa.
Nakubaliana na Chadema na washirika wake...