Siku hiyo nilienda msibani ambapo nilifiwa na mjomba wangu, sasa kama unavyojua kwenye msiba ndugu mbalimbali hukutana. Na siku hiyo alikuwepo ndugu yangu ambaye alikuwa ni binti mrembo sana na tunafahamiana na kiukweli huwa namtamani sana.
Wakati shughuli za mazishi zimekamilika, tukabaki...
Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi.
Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais.
Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais?
Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we meet again.
Stroke.
Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote...
Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa ila rafiki ukimpenda mtu asiyekupenda mnaweza kukaa mtaa moja au sehemu moja, swala la kuonana mtihani kila siku pruu pruuu wala hana hamasa ya kuonana na wewe na mawasiliano umuanze
Akikupenda swala la kuonana na...
Tunaandika ujumbe huu tukiwa na huzuni ya kiwango cha hali ya juu kutokana na yake tunayopitia, sisi ni wastaafu tuliokuwa Watumishi wa Umma ndani ya Wizara ya Ulinzi, tumefanya kazi kwa vipindi tofauti, baadhi ikiwa ni miaka 35 hadi 40 na kuendelea.
Wengi wetu tulikuwa ‘Nursing Assistants’...
Anonymous
Thread
cdf
kuonana
rais
rais samia
samia
stahiki
tayari
tusaidieni
ulinzi
umma
wastaafu
watumishi
wizara
wizara ya ulinzi
Wakuu habari za jioni.
Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.
Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
Wadau,
Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye.
Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake
NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona...
Nimesoma sehemu kuwa Fiston Mayele atakwenda kwenye Kambi ya Yanga huko Egypt. Kwa ushauri wangu nadhani asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga kwasababu ni dhahiri yupo tayari kuihuju timu.
Natoa sababu zifuatazo
1. Mchezaji huyo kwasasa ana mgogoro na Mashabiki wa Yanga.
2. Hakuna...
1. Background za maisha tofauti - mtu unakuta ni tajiri ama anajiweza kiuchumi, ni maarufu, katokea familia ya wazito, nk. anakwepa machawa na wapambe wasio na urafiki naye bali unafki, mtu huyo anaona heri mjuane mitandaoni kuepuka kero hii, lakini pia kuna wivu na chuki ya maendeleo inaweza...
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.
Haji...
Hapo vip!!
Kwanza nikaanzie kwa kusema mwanaume anayempenda mwanamke na muona nimshamba na hajitambui.
Mimi sinto owa kwasababu siwezi kuishi na mwanamke...hiyo ndio salam.
Vitabu vya dini vimeweka wazi yakwamba mwanamke tokea awali ni muovu kwasababu Biblia inasema katika bustani ya edeni ni...
Kwema Wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, ni sababu gani inayokufanya usitake kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?
Mimi: Kwa sababu mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe?
1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki
Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.
Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili...
Kama siku ya leo ningepata bahati ya kuonana na Mhe. Rais na kupata fursa ya kuzungumza naye, ningemwambia yafuatayo:
Kwanza, ningemshukuru kwa kutoa ajira nyingi sana kwenye kada ya Afya na Ualimu lakini panatakiwa pawepo na mchakato rasmi ili kuondoa upendeleo. Ningemshauri pawepo hata na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.