Naona watu wengi Instagram, X na JF wanamlaumu injinia na kumuona mpumbavu kwa kumfukuza kocha Gamondi. Kwanza Rais ana jopo la uongozi ambalo anashirikiana nalo kufanya maamuzi ya timu.
Kuna watu wanafikia kusema "nilikuwa namuona injinia smart ila kumbe mpumbavu" bila kujua kiini cha tatizo...