MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU.
Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM.
Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
Wakazi wa Mtaa wa Chinyoya, Kata ya Kilimani, Wilaya ya Dodoma Mjini, jijini Dodoma, wamepinga uteuzi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania nafasi ya uenyekiti, wakidai kuwa mgombea huyo ameonesha tabia za kujifanyia maamuzi kwa matakwa yake binafsi na kutumia ubabe katika uongozi...
Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma.
Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
Ndiyo!
Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya
Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
Matukio ya jana jimboni Gaza na kauli kutoka Marekani na Israel ni wazi kuwa mbabe mkubwa amekubali kistaarabu ili yaishe.
Shinikizo la kuondoa askari Gaza si la Benjamin Netanyahu kwa ridhaa yake bali limetokana na ukweli aina tofauti katika uwanja wa vita.
Ukweli wa mwanzo ni kuwa hali ya...
KUNA MUDA DUNIA INAWAPENDELEA WENYE PESA TU 😔
Huu ni ukweli mchungu kwa maskini ila ndio ukweli ama uukatae au uukubali bado utabaki tu kuwa ukweli .
Dunia sio salama sana kwa Maskini japo kuna mambo tunasema ni mpango wa Mungu ila waathirika wakubwa hata kwenye hayo mambo huwa ni Maskini...
Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya Mitandao ya Kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu na baadhi ya Askari Polisi.
SACP David Misime
Akitoa taarifa hiyo Disemba 21, 2023 Msemaji...
Salaam, Shalom.
INTRODUCTION.
Leo naongea na wale wote wanaoonewa katika nyanja mbalimbali,kiuchumi, AFYA,kisiasa,kimahusiano, kiimani nk nk.
Yaani umeonewa na adui Yako amezoea kukuonea Hadi anakuja live kukutambia,anakwambia waziwazi katika eneo lako la KAZI, biashara, ardhi, KILIMO kuwa...
Uadui upo rohoni, mtu anazaliwa nao.
Ili usalimike mbele za adui yako njia ni mbili tu;
1. Ukimbie mbele zake, ukiona adui amekuzidi nguvu au maarifa ili usalimike ni kumkimbia tu.
2. Umuue.
Hawa Hamas na watu wa jamii ya Palestine ni maadui wa Israel miaka na miaka. Israel akipata mpenyo na...
Nashangaa kumekuwa na jitohada kubwa zinafanyika ionekane kwamba aliebipu aonekane ni muhanga wa kitendo alichofanya akijua kabisa ukibipu kinachofata huwa ni kupigiwa.
Mwanzoni alivyobipu alijisifia ni shujaa na kutembea kifua mbele, simu ikaanza kupigwa ila aliebipu hakupokea zikawa ni missed...
Samahani kusema ila truth be said hawa jamaa hawana akili hata punje, imagine watu wanategemea maji, umeme, mafuta, chakula kutoka Israel na wako kwenye mazungumzo ya amani ila yanakurupuka na kurusha vijibaruti vyao dhidi ya hao hao Israel.
And yes "vijibaruti" hivi ukilinganisha makombora ya...
Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo.
1. Nakumbuka...
Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda.
Nasema hivi.. huyu Sabaya hastahili kuonewa huruma na mtu yeyote kwani alikuwa amejaa dharau kali, jeuri kiburi ma majivuno.
Kama aliweza muonesha hadharani mkuu wake wa mkoa Anne Mngwira (RIP) dharau ya wazi...
Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo.
Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi.
Tunapokuwa Kila Siku tunawasema Yanga SC na GSM kuwa Wanahonga...
Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina.
Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha...
Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana.
Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako.
Kuna muuza laptops flani yaliwahi kumkuta alipoanza kununua laptops kwa watu wanaohitaji kuziuza, siku ya siku akauziwa laptop...
Inauma mwananchi kudhulumiwa maeneo aliyoyaendeleza kabla ya uhuru
Inashangaza maeneo ya Msalato, Kiterela watu waliokuwa wanamiliki mashamba ya asili kuporwa kwa kisingizio cha upangwaji Jijji.
Mbona MZEE Magufuli eneo alilopitisha SGR Mtumba na alipojenga Mji wa Serikali aliwalipa pesa bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.