Mama ana msimamo tofauti kabisa na mtangulizi wake.
Hapendi kabisa wananchi kuonewa.
Pamoja na kuongea hadharani, lakini hata teuzi zake zimeongea hivyo.
Vyombo vilivyotumika na Mwendazake kuminya uhuru wa wananchi katika utekelezaji wa maisha ya kawaida, vimepigwa dhoruba ya kisawasawa...