Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.
Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake...