kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Benki ya Exim Yazindua Huduma ya Lipa ChapChap Kuongeza Malipo ya Kidijitali na Ushirikishwaji wa Kifedha

    Mkuu wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya Exim, Bw. Andrew Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap, suluhisho bunifu la malipo ya kidijitali ambalo linarahisisha miamala kwa biashara na watu binafsi...
  2. Father of All

    Je yawezekana mtu akasoma na kuongeza ujinga badala ya kuelimika? Tazama wafuatao

    Profesa Ndumilakuwili Kabundi, Profesa Kusitasita Ndalikachako, Profesa Kitita Mwamkumbo Profesa Ukame Mbawala Hawa wana tofauti gani na profesa Vulata au Maji Marefu? Dokta asiyetulia Action Dokta Pindua Chania 'Dokta' Mguujuu Michembe 'Dokta' Ndoto Bitek 'Dokta' Sele Jaffu 'Dokta' Sania...
  3. L

    Ni upuuzi kwa Marekani kuongeza ushuru kwa nchi nyingine kwa kisingizio cha Fentanyl!

    Wiki hii, serikali ya Trump ilitangaza tena kuongeza ushuru wa 10% kwa bidhaa za China zinazouzwa Marekani kwa kisingizio cha suala la Fentanyl na mengineyo, huku pia ikiongeza ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico. Hatua hii sio tu kwamba ilisababisha pingamizi kutoka kwa China na...
  4. Kinyungu

    Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
  5. Akilindogosana

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  6. dorge

    Serikali inashindwaje kuongeza EMS zake? Temeke kuna ipi, Ilala ipo ipi? Kwanini zinejaa mjini?

    Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno. Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5? Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica primary mnashindwa nini? Acheni hizo. Hii nchi ni as if tuanza kiushi nyumba ya kupanga.
  7. Mganguzi

    Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  8. Eli Cohen

    Tofauti na uzinzi na kujimwambafai, hakuna motivation yenye mashiko ya kuongeza mke zaidi ya mmoja

    Unakuta mwamba ana wake wawili watatu ila kila siku unakutana nae kwa wakina fatuma ndala ndefu na jesca utelezi. Polygamy haijawahi kua dawa ya kushinda uzinzi wa mwanaume. Polygamy ni mwendelezo wa old fashioned masculinity ya enzi na enzi, kwamba kidume naweza, kidume mimi ni mashine...
  9. Dogoli kinyamkela

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  10. Stephano Mgendanyi

    RC Makonda Ahimiza Uwekezaji wa Viwanda Arusha, Kuongeza Fursa za Ajira kwa Vijana

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda na ufufuaji wa Viwanda vilivyokufa Mkoani Arusha kama sehemu ya Mkakati wa kukuza dhamira njema ya...
  11. Pang Fung Mi

    Je, matumizi ya Ajinamoto kuongeza Ladha kwenye chakula kuna athari kwenye nguvu za kiume?

    Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa. Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu wanajukwaa hasa wadau wa lishe, afya na chakula karibu kwa ufafanuzi kama hiki kitu kinaathari kwenye...
  12. kmbwembwe

    Kuzungumkuti gani hiki kati ya kuongeza bei ya umeme kwa mtumiaji au kupunguza bei kwa mtumiaji

    Leo nimemsikia msemaji wa serikali TBC akitoa taarifa kwamba mitambo minane kati tisa katika bwawa la Nyerere sasa inazalisha umeme. Akasema umeme sasa tunao wa kutosha na ziada kubwa tu. Akasema hata mitambo mingine ikizimwa nchi nzima mitambo ya bwawa la Nyerere itatosheleza nchi na bado ziada...
  13. Stephano Mgendanyi

    ERB, ECI Waanza Utekelezaji wa Makubaliano ya Kuongeza Ufanisi kwa Wahandisi

    ERB, ECI WAANZA UTEKELEZAJI WA MAKUBALIANO YA KUONGEZA UFANISI KWA WAHANDISI. Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) na Baraza la Uhandisi la India (ECI) wameanza utekelezaji wa makubaliano kati yao ambayo yalisainiwa mwezi Disemba 2024 lengo kuu likiwa ni kuchangia maendeleo ya kiuchumi...
  14. musicarlito

    Mgogoro wa dakika za kuongeza kufidia muda uliopotea kwa refarees,kwanini stop watch isitumike na iwe inaoneka kwenye score board?

    Wadau wasalaam Hivi kila kitu mpaka kianzie playa Kwanini kwenye score board tofauti ya muda wa kuanza mechi na kumalizika isiwe inaonekana,sio libaki swala la referee kwa discretion yake Mfano muda mpira unaanza na stop watch ya referee viwe vinaonekana kwenye score board...mwisho tofauti ya...
  15. Logikos

    Kwanini ndugu zetu Wahutu na Watusi wasipromote kuoana zaidi ili Kuongeza Ushirikiano na Amani baina yao

    Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini wasichanganyikane zaidi na zao la mchangayiko huo lisitengwe ?; Haya mambo mwisho wa siku ni perception tu...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Tanzania kuongeza kasi ya kuunganisha umeme kufikia 72% ifikapo 2030 - Rais Dkt Samia

    Baadhi ya Nukuu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika. “Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati” “Kupitia mpango wetu...
  17. Roving Journalist

    MOI: Mkitembelea Wagonjwa waleteeni Vyakula vya kuongeza damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini

    Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye kuongeza damu kutokana na mahitaji makubwa ya damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini...
  18. Jay_255

    Ongeza uwezo wa laptop yako kwa Kuongeza RAM ya 8gb kwa 30,000 Tu

    Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2 ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
  19. GoldDhahabu

    Tunawezaje kuongeza kiwango cha usafi kwa Watanzania?

    Wengine wanaweza wakaishia kusema kuwa ukimchungumza sana bata hutamla, lakini acha tu ukweli usemwe! Watanzania wengi bado ni wachafu! Siwakejeli! Nitaanzaje kufanya hivyo na huku na mimi ni Mtanzania? Nitawezaje na huku hao ni ndugu zangu, mama zangu, dada zangu, kaka zangu na watu wa...
  20. Z

    Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

    Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa...
Back
Top Bottom