kuongeza kipato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Njia 7 za Kuongeza Kipato Chako Bila Kuacha Kazi Yako ya Sasa.

    Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza kujaribu: 1. Kufanya Kazi za Freelance: Ikiwa una ujuzi kama vile kuandika, kutafsiri, kubuni tovuti, au...
  2. SoC04 Umuhimu wa elimu ya ujasiriamali, biashara na fedha kuongeza kipato na kumaliza umasikini Tanzania

    Utangulizi Umaskini ni moja kati ya matatizo yanayofanyiwa utafiti sana duniani, kwa ujumla Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula, maji salama, sehemu nzuri ya kulala, huduma za afya na mavazi kutokana na kukosa uwezo wa kuvinunua. Hii pia inajulikana...
  3. Njia 5 kuongeza kipato, nje ya utaratibu wa ajira yako ya kudumu

    Kwa kawaida unapokuwa umeajiliwa, au umejiajiri bado unaweza kuongeza kipato mbali ya kile unachopokea. 1. Blogger. Njia hii imependekezwa sana, waandishi weng wameipemdekeza njia hii, nimeona umuhimu kuirudia. Ulimwengu wa sayansi unazidi kusambaa na idadi ya watu wakihamia njia hizi kupata...
  4. Wakuu FDC watakiwa kubuni miradi ili kuongeza kipato

    ▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032 ▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa Na WyEST, MOROGORO Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri uwekezaji wa miundombinu na vifaa uliofanywa na Serikali katika kubuni miradi itakayotumika na wanachuo...
  5. B

    Ili Kuongeza kipato kwa Serikali nimewaza kitu kimoja

    Kupunguza msongamano mjini nashauri serikali iuze petrol lita moja tsh 5,000. Na pia serikali izingatie sana uingizaji wa magari nchini. Magari ya maana ni kuanzia CC 3000 PLUS angalau ya kuaanzia mwaka 2015. Iwe gari zinazoingizwa nchini zisiwe zimepita miaka 5 toka kutengenezwa na zisome...
  6. Mambo Saba (7) Unayotakiwa Kufanya Ili Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Kwa Kuwekeza Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali. Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato kiongezeke mara mbili kilivyo sasa. Mambo 7 Ya Kuzingatia Ili Uongeze Kipato Mara Mbili. MOJA. Mtazamo...
  7. Nimefikiri hivi katika kuogeza kipato

    Heshima kwenu wakuu. Nilianzisha uzi hapa "huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa" na kweli nilipanga kuacha kazi baada ya kuona mshahara hautoshelezi mahitaji yangu na familia kwa ujumla. Lakini kutokana na baadhi ya michango yenu hasa mlioniambia nisiache kazi bali nitafute namna yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…