kuongozwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu. Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Mkutano wa Kahawa Barani Afrika Februari 21–22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam

    Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano una lengo...
  3. chiembe

    Pre GE2025 Msako wa kura za Kanda ya Ziwa kuongozwa na Wasira, Dotto Biteko, Musukuma, Bashungwa, na Mabula's. Ni kivumbi!

    Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa. Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji. Huwezi amini kwamba Mzee Wasira...
  4. enzo1988

    Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

    Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa. Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri, mwaka 2016 Vaticn ilikataza wanaume wenye tabia kama hizo kuwa viongozi au mapadri...
  5. chiembe

    Pre GE2025 CHADEMA iko tayari kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa ambaye atatumia zaidi ya miezi sita ya mwaka akiwa Ubelgiji na familia yake?

    Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje? Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake. Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika" yeye kachimbia watoto na mke ubeleji
  6. Father of All

    Je ni sahihi kwa taifa 'takatifu' kuongozwa na kulindwa na Marekani taifa chafu kuliko yote?

    Bila Marekani, Saudi Arabia isingekuwa kama ilivyo. Ingeishageuka Afghanistan zamani. Je ni halali taifa 'takatifu' kulindwa na taifa chafu kama Marekani? Wanangu wenye kujua nisaidieni.
  7. Tlaatlaah

    Kwa tamaa na Uchu wa Madaraka Lissu amejidhulumu nafasi ya Uongozi, Pia amejikosesha fursa ya wazi kugombea Urais kupitia CHADEMA

    Kwa heka heka za uchaguzi wa chadema iliyogawanyika ngazi ya taifa zinazoendelea, wasomi vijana na wadau wa siasa nchini, wanapata fursa na nafasi muhimu sana ya kujifunza, kuelewa na kufahamu umuhimu wa kua na subra na kutathmini mambo kwa kina na umakini mkubwa kabla ya kufanya maamuzi na...
  8. R

    LGE2024 Ni furaha mtaa ninaoishi kuongozwa na chama Cha upinzani

    Hellow!! Leo mtaani kulikuwa na shamrashamra za kutosha wakati Mwenyekiti wa mtaa Mteule katika mtaa ninaoishi alipoitisha kikao kuwashukuru wananchi Kwa kumchagua. Sasa umati uliojitokeza ndio Hasa umenipa kufurahi maana wananchi wameitika Kweli Kweli Kwa kuacha KAZI zao kumpokea kiongozi...
  9. Kididimo

    Watanzania tuwe makini 2025. Tujifunze jambo kwa Wamarekani kukataa kuongozwa na mwanamke licha ya uwezo wake

    Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa...
  10. Li ngunda ngali

    Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho?

    Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho? Ama mwanamke unakuta eti anamzidi kila kitu mwanamme wake?! Binafsi kwa maoni yangu ni USHAMBA KUKUBALI KUONGOZWA NA MWANAMKE KWA NAMNA YEYOTE ILE. Mwanamke lake jiko na kutangulia chini na si vinginevyo.
  11. E

    Niligundua ni bora kuongozwa na Sukuma gang kuliko CHADEMA

    Misimamo ya Sukuma gang ipo wazi Demokrasia sio kipaumbele ni kazi tu CHADEMA hawana chochote wanachosimamia ,haijulikani wanapinga ufisadi au la
  12. Tlaatlaah

    Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

    Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
  13. PLATO_

    Nchi hii inaitaji kuongozwa na Critical Thinkers, watu wa PhD in Sociology with philosophy Amkeni.

    Watu mliosoma Sociology Tafiti zinaonesha nyie ni watu wa kurizika sana ndo maana PhD ni chache mno za Sociology with philosophy. Nchi inahitaji kuongozwa na wanasosholojia matokeo yake mnaacha wachumi wanatuongozea nchi Wachumi wanajua nini kuhusu Jamii? Hawaelewi kitu kuhusu nature of human...
  14. Suley2019

    Nkasi: Wananchi wa Kabwe wadaiwa kuandamana kupinga kuongozwa na upinzani

    Wananchi wa kata ya Kabwe jimbo la Nkasi Mashariki mkoani Rukwa wameandamana kukataa kuongozwa na upinzani baada ya diwani wa kata hiyo kufariki huku madai yao ni kuongozwa na upinzani kwa miaka 27 bila maendeleo katika eneo hilo. Kata hiyo ni miongoni mwa kata ambazo tume ya taifa ya uchaguzi...
  15. R

    TAKUKURU isiongozwe na Askari. Inahitaji katiba ya Dkt. Hosea kuifufua

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa imekabidhiwa mikononi mwa wanajeshi na Askari. Kazi hii aliifanya Magufuli kwa lengo la kumwezesha kutoa amri ya kutimiza malengo yake . Baada ya JPM bado aliteuliwa Afisa wa Polisi kuongoza taasisi hii. Madhara ya uteuzi ule ni kwamba taasisi imeacha...
  16. Chizi Maarifa

    Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

    Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu. Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au...
  17. P

    Pre GE2025 Askofu Malasusa: Vijana wa siku hizi hawataki Kuongozwa wanataka wawe Huru lakini wamesahau Hakuna Uhuru Usio na Mipaka!

    Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema: "Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi ambacho watu wengi hawapendwi sana kuongozwa tangu watoto pale nyumbani, katika kaya zetu, watu...
  18. R

    Kiimani zipo familia zikikaribishwa kwenye tawala lazima vifo na ajali viwe vingi; tujifunze kuchagua kwa kuongozwa na roho wa Mungu

    Zipo familia zikipewa nafasi ya kuongoza damu lazima itamwagika kwa wingi sana kwenye Taifa husika. Siyo watu wakuleta baraka bali ni watu wanaoambatana na laana. Zipo familia zikipewa nafasi wanaonungunika wanaongezeka ghafla. Manung'uniko yakizidi watu wanaacha kuombea kheri na hapo shetani...
  19. Dr Matola PhD

    Viongozi washamba Yanga hawahitajiki. Tujikite kwenye mechi na Al Ahly

    Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii. Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii...
  20. Mganguzi

    Baadhi ya wizara zinahitaji kuongozwa na vichaa! Sio makaratasi mengi, kwani tumeishiwa watu vichaa!

    Alipata kusema hayati JPM.. Sasa inaonekana wazi kuongoza nchi kwa kuwapapasa papasa watu ni ngumu sana kufanikiwa! Kalemani alikaribia kumaliza tatizo la umeme! Kama ilivyo kawaida ya siasa tunaongoza kwa kujuana ! Akatumbuliwa bila kashfa yoyote! Akaja anaejiita msomi na rais ajaye na kalamu...
Back
Top Bottom