kuota meno

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuota kwa meno siyo chanzo cha tatizo la kuhara kwa watoto

    Ukuaji wa watoto hupitia hatua nyingi tangu kuzaliwa kwao. Mabadiliko haya huhusisha tabia na namna ambavyo mifumo ya mwili hufanya kazi. Ukuaji wa watoto huwa haufanani, lakini wengi huanza kuota meno wakiwa na umri wa kati ya miezi 4 hadi 7. Tofauti na jinsi ambavyo wazazi wengi huamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…