Habarini!
Nina ndugu yangu yeye huwa anaongea mwenyewe usiku. Kwa mfano tumelala saa 6 na nusu lakini ikifika saa 7 kamili utamsikia anaropoka tena atasimama kabisa ataongea maneno utayaelewa mengine huyaelewi au akiwa anaongea atanyoosha na kidole as if anamnyooshe mtu anae ongea nae na mara...