kuota unaongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa ?

    Habari za wakati huu. Niko na swali Moja la kuuliza nahitaji msaada.Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa Yani hawapati ndoto? Na kama ni kweli sababu ni nini? Nimejaribu kufuatilia machapisho mbalimbali pasipo kupata majibu.
  2. Ndugu yangu anaongea usiku na wakati mwingine anainuka na kufanya vitendo, naomba ufafanuzi wa hili jambo

    Habarini! Nina ndugu yangu yeye huwa anaongea mwenyewe usiku. Kwa mfano tumelala saa 6 na nusu lakini ikifika saa 7 kamili utamsikia anaropoka tena atasimama kabisa ataongea maneno utayaelewa mengine huyaelewi au akiwa anaongea atanyoosha na kidole as if anamnyooshe mtu anae ongea nae na mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…