Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
Kuna mambo huwa nikawaza na kuwazua naona vitukuu watatushangaa Sana..., De Beers ameweza kupata pesa nyingi sana na kuwa Kampuni kubwa ambayo ni (Cartel) kwa kuweza kuwaaminisha watu kwamba Almasi ni Adimu sana na inapatikana kwa shida na sehemu chache sana (Ingawa ukweli Almasi ni nyingi ila...
Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili.
Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.
Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
Kwa tunaofanya malipo kwa dola ya Marekani hali imekuwa tete sana. Hata bajeti huwezi kupanga maana hujui kesho itakuwa Tsh ngapi. Tufanye kitu ikae sawa. Wenzetu Kenya waliwezaje kuokoa pesa yao iliyokuwa kwenye free fall?
Samaki Garnai wanaoweza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000.
Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo zinaweza kufika mpaka futi 25000,lakini haifikii hata siku moja futi 40000 zinakopita ndege za abiri za...
Nimekuwa nikifatilia kwa makini harakati za Kenya kuipatia vibali kampuni ya Starlink kuanza kufanya kazi nchini humo, mwaka huu mtandao wa Starlink utaanza kufanya kazi. kwa masikitiko makubwa sijasikia lolote kutoka TCRA tangu mara ya mwisho kusikia kampuni hio kuomba vibali.
Nashangaa kwa...
Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji nimebaini mambo mbalimbali katika mashule ndani ya halmashauria mbayo yanachangia ufaulu au anguko la...
Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda...
Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli, ingekua na tija kama angefaulu kuiteka Ukraine ndani ya muda mfupi ila kwa sasa hali imekua hovyo...
Ndege ya kivita ya Urusi ilijaribu kutumia anga ya Estonia kupokea mafuta angani, hiyo ni baada ya kusahau hako kataifa ka Estoni kako ndani ya NATO, ghafla ndege za Ujerumani na Uingereza zikaibuka na kuifukuzia mbali....
========================
UK and German military aircraft have...
Ilikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni
tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Januari 4, 2023 huku bei ya dizeli ikiendelea kupaa.
Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato imeonyesha kuwa katika jiji la Dar es...
Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.
Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january
Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa
Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa...
Uhusiano na ushirikiano kati ya vyama vya siasa vya China na Afrika ulianza kitambo sana yaani kabla ya nchi nyingi za Afrika kujipatia uhuru wake. Uhusiano huu umekuwa ukiendelezwa siku hadi siku yaani tangu China ilipokuwa Jamhuri mwaka 1949 wakati wa utawala wa Mwenyekiti Mao Zedong hadi...
Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini
Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.
Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
Katika kuendesha shule au kuandaa mitahani ama fomu mbalimbali karatasi ni nyenzo muhimu sana.
Sasa zinavyopanda kwa kasi hii kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine tutafika kweli. Katoni ya Ream ya karatasi yenye pc 5, ilikuwa inauzwa 40 000/=
Kwa sasa ni Tsh 100,000/=.
Mimi bado...
Unbelievable yaani mafuta ya kula ya Korea litre 10 ni 67000/=
Unga wa ngano 25kg ni 44000/=
Sabuni takasa box moja ni 17000/=
Sukari 25kg ni 63000/=
Soda zilianza kuadimika hata kabla ya vita
Na hizo bidhaa zilianza kupanda hata kabla ya vita
Mwaka jana mwezi kama huu wa tatu sukari pekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.