Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
Kwa jinsi alivyo hawezi kukataa kupokea rushwa, wala hawezi kupambana na rushwa kwa namna yoyote ile.
Kwanza ni mbinafsi na amezongwa na shida za kifamilia sana. Na, ni mtu wa tamaa na uchu kupindukia, hususani kwenye suala la fedha, vyeo na madaraka.
Ukimfuatilia kwa makini katika mazungumzo...
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone imefanikiwa kurejesha dola milioni 1.5 (TSh. Bilioni 3.960) kutoka kwa mfanyakazi wa benki aliyehusika na vitendo vya rushwa. Francis Ben Kaifala, Mkuu wa Tume hiyo, alithibitisha kuwa fedha hizi, zinazokaribia Shilingi za Sierra Leone bilioni 34...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa wito kwa viongozi na wanasiasa wa mkoa huo kufanya siasa za kistaarabu badala ya siasa za chuki na zinazogawa wananchi akisema hazitavumiliwa mkoani humo.
Kanali Mtambi ametoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa...
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali
Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
millardayo Mtandao wa Kupinga Rushwa ya Ngono wenye jumla ya Mashirika zaidi ya 200, umetoa tamko leo August 31,2024 la kupinga marekebisho yanayopendekezwa kwenye Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, hususan kifungu 10(b) wakisema marekebisho hayo yanahatarisha...
Mahojiano yake na mwanahabari katika kituo kimoja maarufu cha television nchini yamethibitisha uoga na unyonge wa huyu muungwana katika kupambana na kudhibiti rushwa ndani ya chama chake mwenyewe, lakini pia imethibitika pasina shaka huyu muungwana hana uwezo wala mipango mikakati ya makusudi...
Zaidi ya mara moja kiongozi wake muandamizi ambae pia ni makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hiki amebainisha wazi na kulalamikia jambo hili baya kabisa, linalokwamisha mambo mengi sana kusonga mbele ndani ya Chadema na mahali pengine popote. Rushwa.
Alilizungumzia jambo hili la rushwa nje ya...
Zambia's President Hakinde Hichilema has taken the extraordinary step of firing the entire board of the country's corruption-busting body, after they themselves were accused of corruption, which they deny.
It comes days after the head of the Anti-Corruption Commission (ACC), Thom Shamakamba...
Tubadili mfumo wa kupambana na rushwa.
Katika jamii yetu, taasisi iliyokubwa kuliko taasisi zote ni taasisi ya rushwa.
Hata mtoto mdogo wa miaka 7 au nane anaweza kikuhadithia kwamba mzazi alipata tatizo hili au lile kwa sababu hakuwa na hela ya kuhonga asaidiwe hawezi kutatuliwa tatizo hili au...
UTANGULIZI: Rushwa imekuwa na maana nyingi kutokana na jamii tofauti ulimwenguni. Kwa Tanzania tunatafsiri Rushwa kuwa ni Kitu Chochote cha thamani ambacho mtu hutoa au kupewa ili kutoa upendeleo katika huduma au ni matumizi mabaya ya ofisi za umma kwa maslahi binafsi.
Kwa tafsiri hii binafsi...
Sheria kali za uhujumu uchumi zilianzishwa na JIWE a.k.a SHUJAA, na pia ndizo zilizoibua mafisadi waliokwepa kodi na kuhujumu nchi, kama alivyoeleza yey mwenyewe!
Magu alikuwa anafanya ziara za kushtukiza pale TPA na kila mara kukuta flow meter imechezewa, yaani watu wanajichotea mafuta na...
Bungeni - Dodoma
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent L. Bashungwa(Mb) amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na ameahidi kudhibiti na kupambana na Rushwa katika mikataba, manunuzi na usimamizi wa miradi.
Amesema hayo leo tarehe 06 Septemba 2023 Bugeni...
UTAWALA BORA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI
Utangulizi
Utawala bora na kupambana na rushwa ni masuala muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika jamii. Makala hii inakusudia kuchambua umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kupambana na...
Utawala bora ni msingi muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Moja ya changamoto kubwa katika kufikia utawala bora ni janga la rushwa, ambalo huzuia ukuaji wa kiuchumi, hupotosha usawa na haki, na kudhoofisha imani ya umma kwa serikali. Hata hivyo, kuna matumaini mapya ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo akiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika, yaliyofanyika Jijini Arusha, Tanzania amesema vijana wanaongoza katika mapambano ya rushwa na ni vema vijana wakashirikishwa katika maamuzi
Akieleze mchango wa Vijana katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023 jijini Arusha.
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo barani Afrika ni...
picha: mtandaoni@JamiiForums
UTANGULIZI.
Rushwa kwa maana iliyo nyepesi ni kitendo cha kutumia nafasi za kimadaraka na kiofisi au hadhi za kiofisi kutumia rasilimali za umma kujipatia manufaa binafsi. Rushwa inajumuisha kutoa na kupokea hongo. Kwa miongo mingi sasa rushwa imekuwa chanzo kikubwa...
Rushwa ya ngono imekuwa ni tatizo sugu hasa katika Taasisi za elimu ya juu, Usugu wa tatizo hili unachangiwa na pande zote mbili yaani mtoaji rushwa hapa namanisha wanafunzi lakini pia waombaji rushwa yaani wahadhiri na wakufunzi wa vyuo vikuu.
Madhara ya rushwa ya ngono yanaonekana waziwazi...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wamesaini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi hususan katika kuzuia vitendo vya rushwa na dawa za kulevya hapa nchini kupitia vilabu...