Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu narratives kwamba wajomba zake wana visima au ana undugu na Bush, Obama na kadhalika.
Kwahiyo wewe kama...
Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea...
Mada kuu ya siku hii tukufu ya leo, ni jinsi gani, tutawalinda wale wanaofichua ufisadi Afrika.
Tanzania kimya kabisa au haiitambui siku hii. 😈😈😈
Siku ya Kupambana na Rushwa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 11 Julai. Hii ni siku iliyotengwa na Umoja wa Afrika (AU) kwa ajili ya kuongeza...
Kadri Raisi Samia anavyo fanya dhiara nje kutafuta pesa zinazo itwa za maendeleo ndio kadri wahuni wanavyo jipigia pesa za Umma.
Kasi ya upigaji ni kubwa kuliko ya kutafuta pesa huko nje na inaonekana Raisi hajali kabisa hilo, yeye upigaji sio jambo linalo muumiza kichwa wala kumkosesha...
Makala hii ni muhimu katika kuangazia mienendo mbalimbali ya nchi zinazofuata na kuongozwa na demokrasia na katiba guru Kati ya watawala na watawaliwa, pia makala hii inasisitiza upatikanaji wa demokrasia kupitia misingi iliyowekwa ya haki na usawa kwa wote, Uhuru wa vyombo vya habari...
Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika.
Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai...
Watanzania sio kama tunapinga nchi yetu kukopa, kinachowafanya wananchi waonekane kuogopa nchi kukopa ni uwezo mdogo wa watendaji wetu wa kusimamia miradi mikubwa na pia ufisadi mkubwa wa fedha unaofanywa na watendaji "Report ya CAG" imebainisha na pia hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.