Kila sehem tunalaani! Tunalaani! Tunalaaani!
Yaani sisi afrika hatujui mambo mengine yanahitaji vitendo!
Jeshi la polisi linalaani...
Mashejh wanalaaani...
Waziri analaaani...
Wachungaji wanalaani..
Wananchi wanalaaani..
Bunge linalaaani...
Rais analaaani...
Yaani watu tunaotegemea mkae...