Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Kwa mujibu wa Kanuni za kijeshi Kanali anatakiwa awe na vigezo au sifa zipi ili kusudi apandishwe cheo na kuwa Brigedia Jenerali?
Je, inaweza kutokea akapandishwa cheo bila kuzingatia Kanuni hizo za kijeshi? Nasisitiza vigezo kwa...
Hivi karibuni kuna mtumishi kahama kutoka Serikali Kuu kwa cheo cha mhasibu mwandamizi (Senior accountant-SA) akiwa ametumikia miaka 10 kwenye utumishi wa umma, baada ya miaka mitatu alikuwa anapanda kuwa Mhasibu Mkuu (Principal Accountant). je ni kanuni gani ya utumishi inatoa mwongozo wa kule...
Hivi huu utaratibu wa miaka 4 ambao bila shaka ulianza awamu ya Magufuli (mwanzoni ilikuwa miaka 3), ni mtumishi kutakiwa kuwa amefanya kazi kwa miaka 4 mfululizo tangu apande cheo kwa mara ya mwisho au awe amefanya kazi kwa angalau muda wa miaka 4 bila kujali ni kwa miaka 4 mfululizo au sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.