kupanda mlima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    Nimeandaa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya wanaJF tu ambao wanavutiwa kufika kilele cha mlima

    Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita. Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa...
  2. Prof_Adventure_guide

    Fursa ya kupanda Mlima Kilimanjaro mpaka kileleni Uhuru Peak

    Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini! Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025 Kwa maelezo zaidi nicheki...
  3. Baba Kisarii

    Wazawa tusiogope kupanda Mlima Kilimanjaro

    Kati ya vitu vinavyowatia hofu waTanzania wengi wanaotamani kupanda mlima ni pale wanapoona sisi wazoefu na watu wa milima tunabeba Mibegi mikubwa kama inavyoonekana katika picha. Wanadhani nao wakija huku watabebeshwa mibegi yao. Haiko hivyo! Ukiamua kupanda mlima utakuwa na ka begi kadogo...
  4. crome20

    Kwanini matuta ya barabarani yanawekwa hata upande wa mwinuko?

    Naomba kupata elimu kwa wataalamu wa barabara TANROAD kwanini matuta yanayowekwa kudhibiti mwendo kwenye mteremko, yanawekwa hata upande wa pili wa kupanda mlima? Nina maana kuwa bumps kama hizo ziwekwe upande mmoja tu wa kuteremka, sasa kama unamuwekea mtu anayepanda mlima, unadhibiti mwendo...
  5. Roving Journalist

    Polisi Tanzania na Interpol wamkamata aliyowatapeli Watalii waliokuja kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii waliokuja nchini kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani na nje ya Tanzania. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
  6. JanguKamaJangu

    TANAPA yafunga njia ya kupanda Mlima Kilimanjaro kupitia Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi kutokana na mvua

    TAARIFA KWA UMMA Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatoa taarifa kwa wadau wa utalii na umma kwa ujumla kwamba linafunga kipande cha njia cha "ARROW GLACIER" ambacho hutumika na baadhi ya wageni wanaopanda Mlima Kilimanjaro kupitia njia ya Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi...
  7. Roving Journalist

    Rungwe wamuenzi Mwalimu Nyerere kwa shughuli zinazofanyika Ziwa Ngosi na kupanda Mlima Rungwe

    Ikiwa leo Oktoba 14, 2023 ni Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Muasisi wa Taifa hili Hayati Julius Kambarage Nyerere ambaye alifariki Oktoba 14, 1999; Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza Kamati ya Ulinzi na...
  8. Street brain

    Huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako

    Wazee wanasema: huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako. Aliye kileleni ni vyema akumbuke maumivu aliyosababisha wakati wa safari ya kupanda mlima. Hakuna aliyepata mafanikio bila kusababisha maumivu kwa wengine. Baadhi ya ndoto za dada, kaka na wadogo...
  9. uran

    Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje? --- Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari. Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.
  10. BARD AI

    Watalii wenye Figo 1 waanza kupanda mlima Kilimanjaro

    Watu 31 ambao wanaishi na figo moja, wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuihamasisha jamii kujitolea kuchangia kiungo hicho kwa ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji. Maadhimisho ya siku ya figo duniani, huadhimishwa Machi 9 ya kila mwaka, kwa lengo la kuhamasisha...
  11. plan z

    Jinsi utakavyokuwa usipoanza kupanda mlima na wewe

    JINSI UTAKAVYOKUWA USIPOAMUA KUPANDA MLIMA NA WEWE Hapa mlima ninaoumaanisha ni maisha yako, kwa mfano unataka kufanya jambo flani na ukaulizia kwa wengine waliofanya jambo kama hilo, na walipokupa mbinu hukuchukua hatua ili na wewe ufike walipofikia au ujionee mwenyewe. Kwa mfano unataka...
  12. John Haramba

    Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati hiyo. "Nasikia mnataka kuweka kiberenge cha kupanda Mlima Kilimanjaro, mnataka kuua mlima? Mkiweka...
Back
Top Bottom