Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), leo Machi 14, 2025, ameshiriki zoezi la kupandisha vifaa vya ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano katika kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro.
Mnara huu ni miongoni mwa minara 758 ya...