kupandishwa cheo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Salla

    Kupandishwa Cheo kwenye Utumishi wa Umma baada ya kutokutwa na hatia ya Jinai

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  2. Dr Salla

    Kupandishwa Cheo Kazini baada ya kutokutwa na Jinai kwenye Utumishi wa Umma

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  3. ramadhani yusufu onyesha

    Kupandishwa cheo jeshini huwa wanazingatia nini?

    Naomba mnisaidie kitu wana jamiii forum hiv moja ya malengo yangu ni kujiunga na Jeshi kuna kitu nataka nifahamu, hiv unapoingia jeshini nini huwa wanazingatia nin ili upande cheo
  4. Mlalamikaji daily

    Hongereni wafanyakazi wote wa serikali mlioajiriwa APRIL 1, 2014, Leo mmetimiza miaka 10, (miaka 10 kupandishwa cheo mara moja!) Hongereni!

    Kwanza nimshukuru sana mheshimiwa kwa kupata hii nafasi ya kuposti Leo, Lakini niwapongeze rafiki zangu walioajiriwa mwaka 2014, mwezi wa Nne tar 1, Leo hii wametimiza miaka 10! Lakini cheo walipata mara moja tu! Yaani kauli mbiu ni miaka 10 daraja moja! Miaka 10 daraja moja! Mungu awatie...
  5. Roving Journalist

    Kamati ya Usalama Arusha yampongeza SACP Masejo kwa kupandishwa cheo na Rais

    Kamati ya Usalama Mkoa wa Arusha imempongeza Kamanda wa Polisi Mkoani humo kwa kupandishwa Cheo hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Akitoa Pongezi hizo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu John...
  6. R

    Kingai Pekee ndiye aliyeweza kupambana na Mbowe akishia kupandishwa cheo; wengine wote wameishia pabaya

    Mbowe ameweza kupambana na watu wengi wa mfumo chinichini Bila kuonyesha adharani mashinikizo yake. Waliobomoa Mashamba yake huko Hai wote wameondolewa kwenye mfumo, viongozi waandaminizi waliokuwepo wakati ananyanyasika nao wametupwa nje Kwa fedhea. Walioitwa viongozi WA dola waliamini mfumo...
  7. NostradamusEstrademe

    Hongera afande unastahili kupandishwa cheo

    Iringa. Licha ya kutengenezwa baada ya kuharibika, Jeshi la Polisi, Kitengo cha Usalama Barabarani, Mkoani Iringa limezuia basi la Kimotco lililokuwa limebeba wanafunzi 62 na walimu saba wa Shule ya Msingi Camaldoli wilayani Mufindi lisiendelee na safari. Jeshi hilo lilimelazimika kulizuia...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Kuajiriwa 1991 kupandishwa cheo mara moja tu. Anastaafu kwa uchungu

    Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale. Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa...
  9. JOHNGERVAS

    Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Habari wakuu, Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas. Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
  10. Pascal Mayalla

    Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Wanabodi, Wewe kama mwana JF, unapata an added advantage to be the first to know, ambapo leo katika tukio la maboresho ya jeshi la polisi, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ametoa kauli kwa kutumia fasihi, ambapo ameliamuru jeshi la polisi...
Back
Top Bottom