Habari wakuuu,
Natafuta chumba cha kupanga ambacho hakipo mbali sana na michenzani mall, Zanzibar. Chumba kiwe master na bajeti yangu ni kisizidi laki moja kwa mwezi.
Anayekifahamu au ambaye anaweza niunganisha na dalali naomba anisaidie.
Ahsante
📖MHADHARA WA 16:
Baada ya kununua kiwanja......
Ukibahatika tena kupata vihela kidogo ni bora kuanza kujenga CHUMBA + SEBULE + CHOO. Kama hela zako ni za msimu au hela za kulenga kwa manati usijenge nyumba kubwa, kwasababu inaweza kukutesa kwenye harakati za kuimaliza. Wabongo wana msemo wao...
Habarini za uzima ndugu zangu
Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba Niende moja kwa moja kwenye mada nilikua na mpangaji ambae alilipa pesa ya kodi yake vizuri wakati anaingia shida ni pale tu ilipoisha hakuweza Kulipa tena nikampa notice ya kuhama free bila kunilipa chochote ila huu ni...
Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari.
2023...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.