Kwa huu mpira wa fainali ya AFL mkondo wa kwanza ninaoushuhudia hapa, nathubutu kusema Simba walibahatika kupangwa na Al Ahly.
Simba na wenzao wote wanacheza mpira wa taratibu. Wote wana wachezaji wazito. Hakika, kama Simba angepangwa na Wydad au Mamelodi hii, tungepata aibu ya kitaifa.
Wababe...